KIOO tafadhali nitafutie kwenye maktaba yako ngoma ya Remmy Ongala na Super Matimila wimbo unaitwa Mariam.
 
Wakuu natafuta wimbo wa pst alex na marry atieno unaitwa nitapigana vita vyma
 
Mkuu, Msaada wa nyimbo ya Taarabu...Mwimbaji Nasma Hamis kidogo.
 
Ule unaopigwa sana kwenye shughuli anazikuwepo Rais, una kionjo flani hivi,

[emoji445] Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha [emoji445]

Nisaidieni wakuu unaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…