Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nnao ila kuuweka hapa ndio mtihani kama vipi weka namba nikupostie kwa whatsappNatafuta sana wimbo unaitwa Tabasamu wa DJ bush Baby.
Zawadi itatolewa kwa atakaeupost hapa.
Shukrani.
Natafuta wimbo wa "Baba Shani, Part I." Wa Bima Lee
Cc Humble AfricanNatafuta sana wimbo unaitwa Tabasamu wa DJ bush Baby.
Zawadi itatolewa kwa atakaeupost hapa.
Shukrani.
Tuma namba yako ya whatssap inbox nikupatie,simu yangu baadhi ya batani hazifanyi kazi imepasuka,haswa katikati ambapo kuna neno la attach pia!!
Naomba nyimbo za wagosi wakaya.
Tanga kunani.
Trafiki.
Mimi ninao ila nashindwa kuuweka humu
Mkuu bado hujaweza kujua jinsi ya kuuweka humu?Wimbo wa nasma mambo ipo huku ninao nashindwa kuu upload humu
nnao huo ila kuuweka hapa ndio mtihaniWimbo wa Yule jamaa aliimba kichga.. 'Ninamnagani tutaishi duniani mpaka siku tusema buriani@ Masawe alikuepo, manka, na yule Chuwa.. eti chuwa nae alikuepoooo
Mkuu bado hujaweza kujua jinsi ya kuuweka humu?