Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Sina uhakika ni washirika Tanzania stars au Tancut almas- wimbo unaitwa penzi la kusuasua! Mwemye nao chonde chonde!
 
mwenye nyimbo za paipam soja jamani msaada ngoma moja kamshirikisha g nako nyingine kaimba mwenyewe [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wakuu kuna nyimbo naitafuta lakini sijui inaitwaje wala nani aliyeimba inaimbwa hivi mamy usife moyo na yangu hali rizika na machache yaliyotayari kulimic penz lako sipo tayari umasikini na utajiri yote hali
Nimeitafuta sana nyimbo hii ya miaka ya 2010
 
Mkuu ntashusha zote usjali tatizo wiki 2 hizi sijatulia kabisa napita kwa juu juu sana hapa jukwaani.

Ila ntazishusha tu request zote sio, usjali mkuu.

Pamoja sana.
Mkuu kioo naomba zifuatazao
Cbm crew-girlfriend
Watoto wa maghorofani zote
 
Back
Top Bottom