Tuma namba yako ya whatssap inbox nikupatie,simu yangu baadhi ya batani hazifanyi kazi imepasuka,haswa katikati ambapo kuna neno la attach pia!!


Situmii WhatsApp ila nakutumia njia nyingine ya kunitumia through PM.
 
African Stars (Twanga Pepeta) Fainali Uzeeni kama haujapandishwa naomba mwenye nao aupandishe tafadhali sana.
 
Mkuu KIOO, thanks a lot kwa michango yako kwenye uzi huu. Nimepata nyimbo nyingi ambazo nilikuwa nazisaka sana.

Please, bado nahitaji sana tracks zifuatazo:

=> "Mganga wa Mtoni" - Bonta

=> "Ulimwengu" - huu wimbo ni rap fulani hivi, waliimbaga wasanii fulani hivi wa Mwanza kama sikosei. Hii track ilitamba sana miaka hiyo ya 2007/2008 kwenye kipindi 'show time' cha RFA.

=> "Kalamu na Karatasi" - hii track ni rap fulani hivi aliimba mdada simkumbuki jina, chorus alimshirikisha Nuruel.

CC: clonazepam .

-Kaveli-
 
Nautafuta wimbo wa AY Ambene Yesaya - Sio kila kitu au unaitwa 'raha'. Anafanya tongue twisting flani. Kipindi ypo na CBM Crew
 
Wimbo wa Yule jamaa aliimba kichga.. 'Ninamnagani tutaishi duniani mpaka siku tusema buriani@ Masawe alikuepo, manka, na yule Chuwa.. eti chuwa nae alikuepoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…