Huo wimbo wa Jose Mtambo nilioutaja hapo juu hamjaniwekea bado! Na nimeutafuta bila mafanikio.
 
Kuna wimbo umeimbwa na kikundi toka zbar unaimba hivi..

"Hivi sasa nasonga mbeleee... maisha yangu bila ya weweeee,...nawaachia yo wenzangu, umaskini mm ndani kwangu.,.

Nitafurahi sana nikiupata
Unaitwa nasonga mbele

 
Kuna huu wimbo wa mario na haston wa chibonge kuna kuna vipande anachoimba hastone ni wimbo wa mbele natafuta huo wimbo
 
Jamani mwenye sebeni la werrason alilopiga akiwa ufaransa kwny ukumbi wa zenith naliomba
 
Naombeni mwenye ngoma za mchiriku za kitambo,zilizotamba enzi hizo.
 
"Upendo wa maaaama upendo wa haliii ya juuuuuu , molaaa akubariki"

nautafuta huo uliimbwa na mdada hivi

KIOO Idimi na wengine
 
Dakika Moja ya Marehem Ngweah,, mwenye nao auweke hapa mana nimejaribu kuutafuta online bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…