Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huo wimbo wa Jose Mtambo nilioutaja hapo juu hamjaniwekea bado! Na nimeutafuta bila mafanikio.
 
Kuna huu wimbo wa mario na haston wa chibonge kuna kuna vipande anachoimba hastone ni wimbo wa mbele natafuta huo wimbo
 
Naombeni mwenye ngoma za mchiriku za kitambo,zilizotamba enzi hizo.
 
"Upendo wa maaaama upendo wa haliii ya juuuuuu , molaaa akubariki"

nautafuta huo uliimbwa na mdada hivi

KIOO Idimi na wengine
 
Dakika Moja ya Marehem Ngweah,, mwenye nao auweke hapa mana nimejaribu kuutafuta online bila mafanikio
 
Back
Top Bottom