Ile ni abba inaitwa dacing queen ingia YouTube upo
 
Nimetafuta miaka mingi sana bila mafanikio wimbo was taarabu uliimbwa na bima morden taarabu mtunzi ni ALLY TAJIRUNA.unaitwa kumwacha sitoweza ntashukuru sana nkiupata huu wimbo.
 
Mwenye wimbo rap music flani wa'zamani uhusuo ukimwi,sikumbuki unaitwaje wala msaanii aliyeuimba lakini chorous inaimbwa hivi:

[emoji445]ni kizaa zaa,niwakati wa kujilinda saaasa.....utakoma.....utaenya[emoji445]
 
Jamani me nautafuta wimbo unaimbwa hivi kiitikio chake kumbuka Yale walosema na tuone sasa kama mwisho utafiikaa.."aaaeeeh Mimi na wewe tupendane mpaka siku ya mwisho haadi watu washangae maaamaa# jaman aliyeimba simjui mwenye nao aweke hapa
 
Jamani me nautafuta wimbo unaimbwa hivi kiitikio chake kumbuka Yale walosema na tuone sasa kama mwisho utafiikaa.."aaaeeeh Mimi na wewe tupendane mpaka siku ya mwisho haadi watu washangae maaamaa# jaman aliyeimba simjui mwenye nao aweke hapa
Stara Thomas
 
Natafuta wimbo bahati mbaya msanii na jina la wimbo nimesahau,chorous inaimbwa:

[emoji445]you better love me or leave alone(leave me alone),you better love me or leave me alone(leave me alone)[emoji445]

Umeimbwa na mwanadada flabi miaka ya 2003/2004.
 
 

Attachments

Natafuta wimbo wa siasa, maneno yake ni "YEYE NDIYE ALIYEANZISHA UMOJA WA TAIFA NYERERE,
TUMSIFU KWA FURAHA.....

NYERERE BABA YETU TUNAKUFAHAMU".

Sina uhakika hayo maneno kama nimeyapatia vizuri.
 
 

Attachments

 

Attachments

Kuna mmoja wa kale una kibwagizo ''shangazi naomba tait yako nipendeze niende ngomani,sijui kesho nitarudi na mwenge oooh'' Nikiupata itapendeza zaidi!
 
 

Attachments

mi natafuta wimbo wa soul n faith maumivu nimeutafuta lakini wapi nahisi hapa naweza upata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…