Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huruma kwa wagonjwa. Kama sikosei ni DDC Mlimani na/au Msondo.

Nyimbo za Pauline Zongo.
 
Mimi naomba wimbo Wa kizalendo wenye maneno ''ewe kijana,kijana uwe tayari, kulitumikia taifa Tanzania''...
 
jaman mwenye wimbo huu wa robii f. t kali p jina sikumbuki ila chorus inaima sijapata kuona mrembo kama we moyoni ulie nivuta vuta natamani kuwa na wee naoma unielew mpenzi please mwenye nao anisaidi pia na wimbo wa Mass media band akiwemo mzee zahir ally zoro unaitwa Beatrice ani saidie
 
natafuta wimbo wa nash G mambo bado
na pia kuna wimbo flan msaani alie imba simkumbuki ila ameshirikishwa marehemu mangwea (R. I. P) chorus inamba nenda nenda kwenu nenda na kama virago vyako beba sikuhitaji tena mama.
beat katengeneza mtu mzima majan bongo record nisaidien wadau
pia na natafuta nyimbo ya jamaa mmoja na dhan ni wa kanda ya ziwa jina sikumbuki ila nyimbo inaitwa mafelo au my fellow kitu kama icho ina maadhi ya ragetone msaada mwenye nazo
 
Sio huo huu hapa

Copy of JE WAJUA 15 FEB - YouTube
YouTube › watch

Beat kama ya Kenny G wakati kipindi kinaendelea sikiliza vizuri unaweza dhania ni underground beat ya Kenny G.
 
Ile ni abba inaitwa dacing queen ingia YouTube upo
Sio huo

Hapa
Copy of JE WAJUA 15 FEB - YouTube
YouTube › watch

Underground beat kama ya Kenny G ni slow n soul fulani hivi wakati kipindi kikiendelea na pale kinapokaribia kufika mwisho beat inasikika muda mwingi. Unaweza dhania ni wa Kenny G
 
Naombe uniwekee wimbo Maya, sijuwi uliimbwa na band gani, ila huu wimbo kuna maneno ya kiluga na kiswahili, kunasehemu anaimba mtu alikua mtumishi wetu leo anakua bwana. Huu wimbo nadhani wameukopi toka kwa waimbaji wa kikongo, na wao wakauimba kwa kiswahili kilichochanganywa na kiluga.
 
Kuna wimbo wa young d, Ata jina siujui, bt nliuskilza sku moja tu 2013, nkaupenda xana. Ni rap song, kwnye kiitikio alkua anataja almost sentens moja tu na kuirudiarudia, ambayo ni "pop my colour"
Wimbo ni wa makomandoo ft young dee
Pop ya color
 
Back
Top Bottom