Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Huruma kwa wagonjwa. Kama sikosei ni DDC Mlimani na/au Msondo.
Nyimbo za Pauline Zongo.
Nyimbo za Pauline Zongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna noma.
Umeshawahi kuusikia na huu?
nikumbushe kesho kutwa nita upload hapa, ninao mpaka original yake ilio tunga simaro lutumba na Tp ok jazz na kuimbwa na Carlyto Lassa na Mallage DelugendoNatafuta sana wimbo wa Maya wa mafumu bilali,mwenye nao auweke au anitumie
nipe no ya whats appMkuu nitumie basi PM au uje nikugee namba ya WhatsApp unitumie
ni pm no yako nikutumie whatz app mm kupandisha hapa siweziNaomba wimbo wa soul n faith(washikaji) ulikua unaitwa Msamaha
Cc. blackstarline
namba unitumie kwa watz app yani hata mm nautafuta sana huo wimboNielekezeni namna yakuuweka hapa ndo kinanishinda but ninao huo wimbo
Nitumie namba yakonamba unitumie kwa watz app yani hata mm nautafuta sana huo wimbo
Mm naomba ile ya mafumu bilali na kama unatumia WhatsApp nikupm namba yangu unitumienikumbushe kesho kutwa nita upload hapa, ninao mpaka original yake ilio tunga simaro lutumba na Tp ok jazz na kuimbwa na Carlyto Lassa na Mallage Delugendo
Ahsante Mkuu ulishawekwa nikaupata. Appreciateni pm no yako nikutumie whatz app mm kupandisha hapa siwezi
Sio huo mkuu, sikiza wakati kipindi kinaendelea, wakati mtangazaji akiendelea na kujuza matukio, nita urekodi then niutupie hapa mkuu.Ile ni abba inaitwa dacing queen ingia YouTube upo
Sio huoIle ni abba inaitwa dacing queen ingia YouTube upo
0659445718, nicheki whatsApp ntakutumia zote.Nisendie hata kwa link mkuu
Wimbo ni wa makomandoo ft young deeKuna wimbo wa young d, Ata jina siujui, bt nliuskilza sku moja tu 2013, nkaupenda xana. Ni rap song, kwnye kiitikio alkua anataja almost sentens moja tu na kuirudiarudia, ambayo ni "pop my colour"