harufumbaya
Member
- Feb 9, 2015
- 34
- 3
Huu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965
Nyimbo inaitwa ‘moza’ - msondo ngoma.