PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Mwenye wimbo wa Mgeni wa Kaptain komba na tot tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nina nyimbo(zilipendwa) naitafuta miaka mingi sana siikumbuki jina wala nani kaimba ila nakumbuka maneno yake anayeifahamu naomba anisaidie.naitafuta sana na huwa inapigwa kwenye miziki ya bendi
"kisa hiki jamani cha kusikitisha aahhhh,walinieleza majirani walionilea ohhh" ×2
Hawa majirani walionilea nitawalipa nini eh"
Mkuu nitumie kwenye whatsap no iliniupandike huku kwenye uzi
Mkuu hauna wimbo wa Mariose ya Richard (mdgo wke tundaman) ft ude udeDownload Hizo Nyimbo kwa Waliozihitaji;
P-Funky_-_Please_Forgive_Me.mp3
Mr_-_Ebbo_-_Mi_Masai.mp3
Jambo_Squad_-_Wakusindikiza.mp3
Africa_Liberation.mp3
Enomic_-_Ziggy_D.mp3
Huruma_Kwa_Wagonjwa.mp3
Kali_P_-_Tumbo_Joto.mp3
Kcee_ft_Diamond_Platnumz_-_Love_Boat.mp3
Makomando_ft_Young_Dee_-_Pop_Ya_Colour.mp3
Mitonga_Jazz_-_Moza.mp3
Maya_-_Mafumu_Bilali.mp3
Mkuu_Wa_Mkoa_-_0_Ten.mp3
Papii_-_Salima.mp3
Soul_N_Faith_-_Maumivu.mp3
Story_Tatu_-_Jay_Moe.mp3
Abdul_Msambano_-_Asuu.mp3
Vijana_Jazz_-_Mwisho_Wa_Mwezi.mp3
Huu wimbo umeshawekwa humu, pitia post zilizopita upoAsee kwa Mara ya pli wimbo wa SALIMA by papii kocha...
Kweli hakuna anayeupata na mwenyenao plz
Wimbo wa OTU huo.Siyo huu mbeleni unaendelea "hata ukoo sina, sina ndugu wa damu eh, wala kabila hata dini, sijui mmakonde au msukuma"
Kama ni huu na mie nautafuta sana, najua tuu uliimbwa na Banza Stone sijui akiwa TOT au wapi, hata jina la wimbo sijui. Ukiupata nitag na mie.
It reminds me a lot ntauweka hapaMashabiki by hongera wa michano
Kama sikosei jamaa anaitwa BandagoKuna wimbo Wa kitambo jamaa wanachana saaana kwa kupokezana unaitwa "michano" sina uhakika na jina, beat yake imekaa ki hip hap, koras yake inaanzia, " hivi ni vichwa shupavu......". Mwisho inaishia "sikia..skia michanoo."