Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Dear umekwenda dear umeniacha peke yangu,
Nani kakuongopea ukatoka ndani kwangu,
Kutwa kuchwa ninalia siamini macho yangu,
Nakumbuka mazoea moyoni tele machungu,
Please rejea we ndo barafu wa moyo wangu.

[emoji115]Hiyo ngoma sijui kaimba nani lkn naitafuta sana inaitwa "Dear"
 
Naomba niwe mpangajiwa kudumu ndani ya Moyo wako
By Zahir Au Zahoro Ally baba yake banana.
Mass Media
 
Mimi nina nyimbo(zilipendwa) naitafuta miaka mingi sana siikumbuki jina wala nani kaimba ila nakumbuka maneno yake anayeifahamu naomba anisaidie.naitafuta sana na huwa inapigwa kwenye miziki ya bendi

"kisa hiki jamani cha kusikitisha aahhhh,walinieleza majirani walionilea ohhh" ×2

Hawa majirani walionilea nitawalipa nini eh"

Siyo huu mbeleni unaendelea "hata ukoo sina, sina ndugu wa damu eh, wala kabila hata dini, sijui mmakonde au msukuma"

Kama ni huu na mie nautafuta sana, najua tuu uliimbwa na Banza Stone sijui akiwa TOT au wapi, hata jina la wimbo sijui. Ukiupata nitag na mie.
 
Kuna wimbo Wa kitambo jamaa wanachana saaana kwa kupokezana unaitwa "michano" sina uhakika na jina, beat yake imekaa ki hip hap, koras yake inaanzia, " hivi ni vichwa shupavu......". Mwisho inaishia "sikia..skia michanoo."
 
Siyo huu mbeleni unaendelea "hata ukoo sina, sina ndugu wa damu eh, wala kabila hata dini, sijui mmakonde au msukuma"

Kama ni huu na mie nautafuta sana, najua tuu uliimbwa na Banza Stone sijui akiwa TOT au wapi, hata jina la wimbo sijui. Ukiupata nitag na mie.
Wimbo wa OTU huo.
 
Sitosahau Huruma ya Bwana - Adonai (Pst Gabriel - Sauti ya Simba)
 
Mi natafuta zifuatazo;

Jaffarai na Naziz - Hii fani.
Pia kuna wimbo Papii Kocha aliimba na Lady Jay Dee siujui jina.
 
Back
Top Bottom