Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Bado naifanyia kazi kwenye maktaba zangu kiongozi wangu.

When am done, will let u know bro. Thanks.

Welcome.
Mkuu kioo naomba nisaidie wimbo wa solothang miss tanzania.. natanguliza shukrani.
 
Asee acha tu mkuu
Inaonekana ni ngoma adimu sana kuipata

Unakuta kuna ngoma nyingine hazijaandikwa majina halisi ya ngoma zenyewe, unakuta imeandikwa namba tu na alphabets, sasa inakuwa ngumu kupitia moja baada ya nyingine kuanza kuskiliza ipi ni ipi coz ngoma zipo nyingi sana ndo tatizo.

Ila itakuja tu wala usjali kiongozi wangu.
 
Pamoja sana
Unakuta kuna ngoma nyingine hazijaandikwa majina halisi ya ngoma zenyewe, unakuta imeandikwa namba tu na alphabets, sasa inakuwa ngumu kupitia moja baada ya nyingine kuanza kuakiliza ipi ni ipi coz ngoma zipo nyingi sana ndo tatizo.

Ila itakuja tu wala usjali kiongozi wangu.
 
Kaka Mkuu KIOO ahsante sana, leo toka asubuhi nimepitia page zote 403 nimevuna OLD which is GOLD. Muziki unaoishi. Ahsante Secret Star kwa uzi huu.
OMBI.
1. Ngoma ya Ney wa Mitego alfanya Bongo Record mapema sana inatembea hivi, ".... Kuishi Manzese imekuwa shida, mambo yanavyokwenda baby sijui kama utaweza...."
2.
Crazy GK Feat Fid Q sikumbuki jina ila "..... wamevunja makanisa ili wajenge casino...."

Shukurani kwa madini wana JF
 
Mambo vp? Naomba nyimbo hzi tafadhar

Mia saba sabini 770
Tozy wa mbagala, nimezikumbuka sana
 
Kaka Mkuu KIOO ahsante sana, leo toka asubuhi nimepitia page zote 403 nimevuna OLD which is GOLD. Muziki unaoishi. Ahsante Secret Star kwa uzi huu.
OMBI.
1. Ngoma ya Ney wa Mitego alfanya Bongo Record mapema sana inatembea hivi, ".... Kuishi Manzese imekuwa shida, mambo yanavyokwenda baby sijui kama utaweza...."
2.
Crazy GK Feat Fid Q sikumbuki jina ila "..... wamevunja makanisa ili wajenge casino...."

Shukurani kwa madini wana JF

Thanks a lot kiongozi wangu. Usjali tuko pamoja mkuu.

Sasa ungesema majina ya hizo nyimbo ungetupa urahisi mkuu.

Thanks bro...!
 
Daaah wakuu hivi wimbo wa Snare wa East Coast Team ynaitwa Ufunguo uliopotea hakuna hataa ambaye anao?
 
Back
Top Bottom