Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
Hahaha pamoja bro,much respect sana,nipo mzee,kila napopata muda lazima nipitie jukwaa hiliHahahah thanks a lot kiongozi wangu. Ila pia umekuwa adimu sana sikuoni kabisa jukwaani mkuu...!
Nashkuru sana aisee uwepo wako tu hapa ni faraja kubwa kwangu nafarijika kuwa nimezungukwa na watu na nipo karibu na watu kama nyinyi najiskia faraja sana mkuu.
Much respect to you bro.
I appreciate.
Kuna kipindi nakuwa nashusha mangoma kimya kimya kutoka kwenye request za wadau wengine,tunafarijika sana mkuu
Pamoka bro!