Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hahahah thanks a lot kiongozi wangu. Ila pia umekuwa adimu sana sikuoni kabisa jukwaani mkuu...!


Nashkuru sana aisee uwepo wako tu hapa ni faraja kubwa kwangu nafarijika kuwa nimezungukwa na watu na nipo karibu na watu kama nyinyi najiskia faraja sana mkuu.

Much respect to you bro.

I appreciate.
Hahaha pamoja bro,much respect sana,nipo mzee,kila napopata muda lazima nipitie jukwaa hili
Kuna kipindi nakuwa nashusha mangoma kimya kimya kutoka kwenye request za wadau wengine,tunafarijika sana mkuu

Pamoka bro!
 
Nahitaji nyimbo za lady issa mana nilikuwa nazo sijui nilizifuta bahati mbaya au vipi nimesahau mana yake sizioni katia mafile yangu
 
Ndugu Zangu - Afande Sele

Albam ya Taswira - Mandojo na Domokaya

Hoe Hae - Swahili by Nature ikibidi album nzima

Eeh Mola - Solid G.F ft Gorlla Killerz(pingu na deso)

Hatari Kitu Gani - Zay B ft Jay More

Utawamaliza Wote - Big Dog Pose

Trigger Mc - Kafa

T Block Solderz

Mikono Hewani - John Mjema ft Solothang &

The Kila Kitu - Albam yao ikibidi

Understand - Jide & TiD

Raha Tuu OG - AY

Biashara ya Utumwa - Ay & Nature

Suma Lee & Shirko - Maneno neno mengi mpenzi weeh.... yasije kusababisha ..... mi nawe tuachaneeh

Mr Afisa - Squizer & Dataz

Bushoke - kama ulikua hutaki kukaa namii... kwanini hukusema... mapema.... kuliko kunitesa..... (NIKIIPATA ILE YA MAKOLE HEXAGON, ITAPENDEZA ZAIDI)
 

Attachments

Hahaha pamoja bro,much respect sana,nipo mzee,kila napopata muda lazima nipitie jukwaa hili
Kuna kipindi nakuwa nashusha mangoma kimya kimya kutoka kwenye request za wadau wengine,tunafarijika sana mkuu

Pamoka bro!

Glad to hear that...!

Much respect to you too brother.

Salute mkuu.
 
Nashukuru sana mkuu kioo ila Luna wimbo mmoja wa zamani ule umeimbwa kama wimbo wa h mbizo mchumba wenyewe unaitwa nimekufananisha we dada sijui kaimba nani vile nimemsahau jina

Ungenipa jina la wimbo au aliyeimba ingekuwa rahisi kufahamu coz traxx zipo nyingi sana ndugu yangu. Thanks.
 

Mkuu KIOO kuna ngoma moja hivi ya kitambo ameimba mdada mmoja na mshkaji inasema "penzi la ndoa ni tamu tamu, halina kificho... "

Msaada mkuu.
 
Back
Top Bottom