Dah [emoji23] wewe jamaa haujawahi kuniangusha hatari sana!!!

Shukran shukran tena shukrani!!!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
wakati ukuta.
 
Aisee huu wimbo ni adimu sana. Nishakuwa nao nikaupoteza. Now kuupata tena imekuwa kioo town.
Daaah wakuu hivi wimbo wa Snare wa East Coast Team ynaitwa Ufunguo uliopotea hakuna hataa ambaye anao?
 
Mwenye mtoto wa get I kali part 2 alioshilrikishwa Ali choki please auweke nakumbuka niliuaikiliza redio one kipindi cha wikiendi show na aboubakar sadiq mwaka 2012 kurudi nyuma kama sijakosea
 
Ndugu Zangu - Afande Sele

Albam ya Taswira - Mandojo na Domokaya

Hoe Hae - Swahili by Nature ikibidi album nzima

Eeh Mola - Solid G.F ft Gorlla Killerz(pingu na deso)

Hatari Kitu Gani - Zay B ft Jay More

Utawamaliza Wote - Big Dog Pose

Trigger Mc - Kafa

T Block Solderz

Mikono Hewani - John Mjema ft Solothang &

The Kila Kitu - Albam yao ikibidi

Understand - Jide & TiD

Raha Tuu OG - AY

Biashara ya Utumwa - Ay & Nature

Suma Lee & Shirko - Maneno neno mengi mpenzi weeh.... yasije kusababisha ..... mi nawe tuachaneeh

Mr Afisa - Squizer & Dataz

Bushoke - kama ulikua hutaki kukaa namii... kwanini hukusema... mapema.... kuliko kunitesa..... (NIKIIPATA ILE YA MAKOLE HEXAGON, ITAPENDEZA ZAIDI)
 
Aisee hata mimi nautafuta sana wimbo wa Snare - Ufunguo uliopotea. Mwenye nao tafadhali.
Hii ngoma next wik nikienda k/koo mtaa wa aggrey nitaitafuta kwa wale jamaa wa kuingiza nyimbo maana nimetafuta sana mtandaoni nmeikosa
 
Mm nataka wimbo mmoja hivi unaitwa "" TEDD MWANA ZANZIBAR "" "unapopatikana basi niufuate huko
Huo ni wa Sikinde,Album ya Huruma kwa Wagonjwa. Nadhani upo Youtube. Ndani yake kuna nyimbo zingine kama Amina(dedication ya Mpakanjia kwa Amina Chifupa,wote R.I.P) ,Leo Furaha nk
 
Heshima yako bro,nafurahi kukuona umerudi tena baada ya mwez mtukufu...

Asante sana kwa ngoma unazoshare nasi hapa,hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua njema kwa Mungu!!
 
Heshima yako bro,nafurahi kukuona umerudi tena baada ya mwez mtukufu...
Hahahah thanks a lot kiongozi wangu. Ila pia umekuwa adimu sana sikuoni kabisa jukwaani mkuu...!

Asante sana kwa ngoma unazoshare nasi hapa,hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua njema kwa Mungu!!
Nashkuru sana aisee uwepo wako tu hapa ni faraja kubwa kwangu nafarijika kuwa nimezungukwa na watu na nipo karibu na watu kama nyinyi najiskia faraja sana mkuu.

Much respect to you bro.

I appreciate.
 
kuna ule wimbo wa Afrika ya Kusini wanaimba huku wanaanguka chini [emoji2] [emoji2] plz mwenye nao anisaidie asee maana nimesahau hata jina la msanii wake
 
Safari - Christina Shusho
Pompo pisha - Chid benzi
Snare - Funguo
Aisee hata mimi nautafuta sana wimbo wa Snare - Ufunguo uliopotea. Mwenye nao tafadhali.
Hii ngoma next wik nikienda k/koo mtaa wa aggrey nitaitafuta kwa wale jamaa wa kuingiza nyimbo maana nimetafuta sana mtandaoni nmeikosa
Daaah wakuu hivi wimbo wa Snare wa East Coast Team ynaitwa Ufunguo uliopotea hakuna hataa ambaye anao?
 
Attachments

Attachments

Nashukuru sana mkuu kioo ila Luna wimbo mmoja wa zamani ule umeimbwa kama wimbo wa h mbizo mchumba wenyewe unaitwa nimekufananisha we dada sijui kaimba nani vile nimemsahau jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…