Kuna wimbo uliimbwa na bendi unahimiza watu kwenda Gezaulole na Kibugumo kwenda kulima

Mwenye nao unaitwa GEZAULOLE (Nadhani)
 
Stereo ft nan duke this time

Huyu huyu stereo wa lunduno mwenye hiyo nyimbo jamani
 
Ungeweka sample ya wimbo mkuu.
Mmmmmmm! Itanibidi Jumapili ijayo nikivizie hicho kipindi, na kurekodi hicho kipande cha huo wimbo.
Hata hivyo, sina shaka wapo ambao wanakijua hicho kipindi, na kujua kiashiria cha hicho kipindi, ambacho ndio wimbo niutafutao!
 
1-Sina muda by hard mad ft fid q
2-Rafiki by Suma lee ft joh makini
 
"Sikutaka" by Unique sisters original version
Kama kuna mtu mwenye huu wimbo siyo ule aloimba dudubaya anisaidie sana!
 
Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa!
 
Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa!
Uliza wasikikizaji wa nyimbo za Katoliki wawaambie.Chombo Cha mziki kikubwa Ni kinanda tu na tune Ni moja tu Cha tofauti ni maneno ya nyimbo na steps za kucheza na kurukaruka tu ndio kinatofautisha Kati ya kwaya moja na ingine.
 
Mimi ni mkatoliki kindakindaki na ndiyo maana nimesema hivyo. Ungekua una uelewa kidogo wa elimu ya nota ungeweza kugundua ya kwamba hizo nyimbo hazifanani!

Labda ungesema maudhui ya nyimbo za katoliki yanatofautiana na nyimbo za madhehebu mengine, ningekuelewa.
 
Uliza wasikikizaji wa nyimbo za Katoliki wawaambie.Chombo Cha mziki kikubwa Ni kinanda tu na tune Ni moja tu Cha tofauti ni maneno ya nyimbo na steps za kucheza na kurukaruka tu ndio kinatofautisha Kati ya kwaya moja na ingine.

Je wewe ni mkatoliki, na pia unauelewa wa music hasa kwenye nota?
 
Unachokiongea haukifahamu,, au inawezekana ni wale wa kusikiliza nyimbo mbili basi maana nyimbo za kikatoliki zinaimbwa kutokana na kipindi husika cha mwaka wa kanisa sasa kama ulisikiliza nyimbo za kwaresma kipindi cha pentecoste unategemea nini mkuu
 
Kama bado haujazipata nicheki Pm,, Nina zaidi ya GB 20 ya nyimbo za kikatoliki pekee
 
Mimina ni wimbo bora wa mwaka huu....[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 
Mimi wakuu naomba nyimbo hizi hapa za marehemu Complex ft Noorah n Suma lee Taifa la Bongo
Complex ft Dataz and Squeezer Nyamaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…