Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Atakaeweza kunipa wimbo wa dini wa zaman unaitwa PESA na JANGALASON VAA VIATU am ready to PAY him or her
 
Mkuu KIOO kuna ngoma moja hivi ya kitambo ya Hip Hop jamaa anazungumzia anaondoka bongo anaenda South Africa kutafuta maisha anakutana na misukosuko njiani.

Kama utaifahamu naomba uniwekee hiyo nondo mkuu. Natanguliza shukran nyingi sana kwako mkuu.
 
Attachments

Attachments

Daaaaaah wee jamaa ni wa hatari sana sio mtu wa mchezo mchezo hata kidogo aisee. Saluuuuuut kwako kama zooooote mkuuumkuu. Daaaaaah.

Nimalizie na ngoma ya jamaa mmoja anaitwa Suka aliimba Mipasuo na Mwana FA hiyo ngoma aliita hivyo hivyo Suka mkuu. Thank you sooo April mkuu. Daaaah.
 
Kaka ile track vp uliipata? "ss bbygal, sio kamdigida nataka nikutach"
 
Mkuu, naomba nifanyie wepesi kwa nyimbo/mp3 zote za Sam Mangwana
 
Back
Top Bottom