Shomary Byellah dunia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 209
- 62
Mkuu kioo kuna bit zile zinazofanana ile ya bit ya alaji alaji nazitafuta please kama zipo karibu zitume nadhani kuna wengine watazihitajiNikumbushe mkuu...!
Niliomba unitumie nyimba za sqeeza pamoja na nyimbo za marehem langa nikitambo sana hujanitumia tangia tarehe 14 jun mpaka waleoNikumbushe mkuu...!
Nikumbushe mkuu...!
Mwenye nazo plizMkuu Kioo naomba wimbo unaitwa EKIBINDANKOI sijui aliimba nani, pia wimbo unaitwa SANURA wa Tongolanga na nyimbo za NASMA KHAMIS KIDOGO (Taarabu)
Bro kwema??naomba unisaidie ngoma za Chris Kantai,,rapper kutoka Kenya..ntashukuru sana[emoji120]
Mkuu ngoma yangu jamani bado nasubl
Bro kwema??naomba unisaidie ngoma za Chris Kantai,,rapper kutoka Kenya..ntashukuru sana[emoji120]
Mkuu KIOO kuna ngoma moja hivi ya kitambo ya Hip Hop jamaa anazungumzia anaondoka bongo anaenda South Africa kutafuta maisha anakutana na misukosuko njiani.
Kama utaifahamu naomba uniwekee hiyo nondo mkuu. Natanguliza shukran nyingi sana kwako mkuu.
Daaaaaah wee jamaa ni wa hatari sana sio mtu wa mchezo mchezo hata kidogo aisee. Saluuuuuut kwako kama zooooote mkuuumkuu. Daaaaaah.
Nimalizie na ngoma ya jamaa mmoja anaitwa Suka aliimba Mipasuo na Mwana FA hiyo ngoma aliita hivyo hivyo Suka mkuu. Thank you sooo April mkuu. Daaaah.
Mkuu Kioo naomba wimbo unaitwa EKIBINDANKOI sijui aliimba nani, pia wimbo unaitwa SANURA wa Tongolanga na nyimbo za NASMA KHAMIS KIDOGO (Taarabu)
Kaka ile track vp uliipata? "ss bbygal, sio kamdigida nataka nikutach"