FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Unamaanisha nini unaposema ina-play kidogo sana aisee...?
Unamaanisha ina-play kwa muda kidogo au ina-play kwa sauti kidogo mkuu...?
Mbona mie naiskiliza mpaka inafika mwisho aisee.
View attachment 1140480
Aongezee na wimbo unaitwa moyo wangu uwe na subira moyo subiri kwa bwana. Hapo chidumule alitambaa na maneno hatariCosmas Chidumule - Hosanna Original,
ukisearch google na youtube inakuja hosana amabayo si wimbo wa hosana.
Mkuu hivi bado ile nyimbo ya remmy-tabu na wewe, inafanyiwa kazi tuh hadi leoSijakupotezea aisee si unajua kobe akiinama...!
Kioo pitia pitia hiyo list apo mzee1: tuko bwaa rmx _ capital letaz
2: bui bui sijali mabaya
3: nako 2 nako _ ndio zetu
4: dani msimamo ft mkoloni _ aku