mwenye wimbo wa prof. j ule mwokozi ntoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa....alikuwa bado na kundi lake la hard blasters
 
mwenye wimbo wa prof. j ule mwokozi ntoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa....alikuwa bado na kundi lake la hard blasters
Mkuu nenda twitter kachek profile ya mh. Haule,,

Aliweka albam nzima,[emoji16]
 
Mwenye kujua ule wimbo uliokua unaimbwa kwenye video ya Umber Ruttu akisukumiwa naomba anitajie jina na aliyeimba, ikibidi hata link naomba plse.
 
Daaaah aisee umetisha sana kiongozi wangu. Much respekt to you bro. Ni kweli kabisa wadau tumuungishe mwana ana kazi nzuri sana sio.

Much respekt to you again & again blood. Nice.

[emoji1477]
Shukrani sasa kaka!!!
 

Attachments

KIOO chief leo naomba ule wimbo wa frofesa kazi na dokta mjusi, wimbo unaitwa kioo
"kioo kioo alikivunja nani, wa mwisho akamatwe awekwe gerezani"
 
Kuna wimbo sijui hata aliimba nani, nausikiaga kwa nadra sana!!
Kuna kibwagizo kinaimba

"Heri ya wenzetu wazazi wao wamewaachia mali, sisi wazazi wetu wametuacha mikono mitupu! Ona leoo napata tabu ooh maaah! Ona leooo nalia oooh maah!!"

KIOO na wadau wengine msaada tafadhali kuujua na kuupata huu wimbo
 
Kaka naomba Msaada wako kuna jamaa aliimba nyimbo moja akiwashirikisha Mapacha unaitwa Siku haziwezi fanana sina hakika sana na jina ila chorus ndo hyo ya hyo nyimbo nina miaka 4 sasa nautafuta siupati naomba msaada
 
Wakubwa naomba msaada wa nyimbo za MwanaFA za zamani na sasa zozote ulizo nazo... Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…