Mchajikobez
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 371
- 539
Daah hii alijiimba maana kachoka vibaya
KIOO nashukuru chief, naona umefurahi sana pale nilipoomba huu wimbo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hii ngoma mkuu hujaitupia bado ."...na tujichanganye wote ndani ya tarehe... " unamaanisha hiyo ngoma kaka...?
Bado moja hapo mdau ndio naitaka mie zaiiiiidi yaani
Kioo ,naomba kama una nyimbo ya kilio cha yatima ya mwinjuma itupie hapaAmeimba mwanaume au dogo aisee...?
Inaitwaje aisee...!
Natafuta huu wimbo.
Unaanza hivi.
"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Nimepata original yakeNatafuta huu wimbo.
Unaanza hivi.
"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Vijana jazz ft fina mango shoga coverNatafuta huu wimbo.
Unaanza hivi.
"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Asante mkuu nimeupata.Vijana jazz ft fina mango shoga cover