Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
KIOO nashukuru chief, naona umefurahi sana pale nilipoomba huu wimbo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Hahahahah stay blessed mkuu...!

2KOPA1
 
Nyimbo ya King Crazy Gk inaitwa Upanga East Upanga Coast
20190426_220810.jpeg
 
Natafuta huu wimbo.

Unaanza hivi.

"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
 
Hivi kaimba msanii gani??

Nimepata original yake
 
Natafuta huu wimbo.

Unaanza hivi.

"Nimeshitushwa na ujumbe ulionitumia ......"
"Aaaaa aaah sababu namfuata fuata mumeo"
"Shoga eeeeeh eeh ukiniuzi utanionea bure"
Vijana jazz ft fina mango shoga cover
 
Back
Top Bottom