Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Katika njia ya injili imeimbwa na kkkt Mabibo kwaya ya vijana Tafadhali
 
"Nikikuuliza jambo huja juu, huja juu kipenzi changu,.
Nakujitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure,
Natafuta wimbo winye mistari hiyo
duh huo wimbo kitambo sana ila sijui kaimba nnanautafuta sana
 
Natafuta nyimbo mbili za dini za kuabudu zimembwa na kwa ya ya TUMAINI CHOIR SHANGILIEN Arusha, zinaitwa 1.sitafuti mali 2 . juu yake
 
Natafuta nyimbo ya jamaa mmoja anaitwa Chelea man inaitwa Nipende kama nilivyo.
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Aise huu wimbo nnao
 
Wimbo nnaouhitaji unaimba hivi

"nakukunda mama weeee
Ntakupenda milele

Mama mama wewe wewe wewee"
 
Kuna taarabu za zamani sana kama sikosei waliimba TOT

Inasema nimepata wangu fundi, amepima bila hofu, amepima kiufundi upana hata marefu.

Alafu, dereva wangu tulia hapa kwangu umetua. Ile albam ilikiwa moto miaka ya 92/93
 
Mkuu naomba wimbo wa msondo ngoma

Unaimbwa hivi.

"Nitafanya nini biashara mamaa
Matatizo yako nitayazoea

Kama kuna kosa naomba radhi eeh a mamaaa
Kama kosa naomba radhi eeh a mamaa
Nisamehe mama watoto a amamaaa"
Nitafanya nini Mimi ooh Kyala Maama
Matatizo yako oo nishayazoea
Aah Kyala mama eeh eeh
Tushakuwa watu wazima sasa
Ooh Mama

Nisamehe mama Natasha
Ooh Mama
Nisamehe mama Hussein
Ooh mama
 
Back
Top Bottom