Kuna wimbo uliombwa sana aliimba banza stone unaimbwa hivi hata ukoo sina sina ndugu wa damu hata ukoo sina sina ubini sijui mzaramu wala mmakonde sijui jina lake mwenye nao please
 
Maana mimi nimejaribu kudownload kupitia hapo mziiki.com sijafanikiwa mnisaidie wanaoweza kuupata please
 
Chief Maker miss ritha

Nitakwenda Geita aah, kumuona sinyorita, simwingine ni ritha anapiga simu anasema niende Geita
 
Nyimbo ya DDC mliman park nyimbo inaitwa ukitaka kufurahi na wanasikinde imepigwa mtapa wa kufa mtu umo naipenda kinoma
 
Natafuta wimbo wa "chaupele mpenzi" remix. Wameimba bendi fulani kuna mdada na mkaka ila nimeukosa mtandaoni.
 
Chief kama uliwahi kuipata hii naitaka.
Monica, dah kitambo sana!
ziko version nyingi sana za Kesi ya Khanga (Monica) ziangalie hizi kwanza.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…