Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta nyimbo Ya unique sisters awana bijuu bado nakupenda beibee awana daa nausaka sanaa
 
Natafuta wimbo ‘Mpenzi Roza’ wa Tanga International. Nadhani ni wa miaka ya 80.
 
Ha ha ha ha ha ha ha, Pamoja sana mkuu.
hatari hii kitu, hii beat hata dr. dree lazima akose usingizi, alafu video yake ya kawaida sanaaa, na hii chorus akon so wa mchezo dahhhh

[emoji16] [emoji6]
 
Ha ha ha ha ha ha ha, Pamoja sana mkuu.
hapa nimeweka repeat hahaha, watu wanauliza hiyo ngoma ni ya nani, nawajibu mtoto wa mandale hiyooo kaachia, wanautafuta youtube hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna nyimbo ya Justine Kalikawe yenye maneno haya "usitumie cheo chako kama dhamana, kwa matakwa yako, utasababisha ajali kama ya mv bukoba..."
 
Aaah hiyo ngoma noma sana tena kipindi hicho Akon yupo on fire hatari.
dah hatar sanaa[emoji2] [emoji2]

leo siitoi hii ngoma hadi kuchweee

namuona wa ubavu anatikisa kichwa hapa

leo [emoji2] [emoji23] [emoji16]
 
Mimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
Wimbo unaitwa hivyo hivyo ALWAYS umeimbwa na JAMES INGRAM
 
Jamani me nautafuta wimbo unaimbwa hivi kiitikio chake kumbuka Yale walosema na tuone sasa kama mwisho utafiikaa.."aaaeeeh Mimi na wewe tupendane mpaka siku ya mwisho haadi watu washangae maaamaa# jaman aliyeimba simjui mwenye nao aweke hapa
Stara Thomas
 
Back
Top Bottom