Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo wa scanner aliimba na kidemu wa kihindi hv anaitikia kwa kihindi ulikuwaga unarushwa chanel ten kipindi hichoo ndo unaanza
 
Tazama ramani by jitegemee, huu wimbo nausaka bila mafanikio
Hahaaaaaaaaaa hta mm nmejkuta nautafuta tena nmekumbuka ile bendi ya mapipa. Big up sana kanali F.Masawe enzi zake Good Headmaster ever seen.
 
kuna nyimbo moja ya zilipendwa siikumbuki jina...ila inaimbwa mama nipe nauli nikamfute monica
...amekimbia Zambia na treni ya mizigo, kisa cha kukimbiaa madeni yamezidi doki kumi za khanga alizokopa hajaliaaa...

"Kesi ya khanga" Ndala Kasheba
 
Kuna ngoma moja ya hip hop beat lake tu ni sheeda sijui inaitwaje beat linavinanda ...tata Tara tata rara ra rirarira ri rara...
Nikumbushe jina niitafute YouTube
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hip hop mdundiko-Benjamin Mambo jambo.

Nimeutafuta wimbo huu kwa muda mrefu sana bila mafanikio,nadhani umetolewa miaka ya 2001,aliye na wimbo huu naomba anisaidie.

Shukran!!!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Heshima kwenu wakuu.

Mimi natafuta wimbo ambao naikumbuka idea yake tu,ambapo ulikuwa unaongelea utoaji mimba na kwa utunzi ulikuwa,kiumbe kilicho tumboni, kinasema,Tafadhali mama inusuru roho yangu,naomba usiitoe mimba yangu.


Wimbo mwingine,aliimba filbet kabago,we ni wangu,

Na wimbo wa MAISHA BAADA YA CHUO wa Nash mc

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mwenye kuujua wimbo mmoja hivi TBC walikuwa wanatumia kwenye kutangaza matangazo ya vifo na kumbukumbu kaimba mwanamke. Ni wataratibu flan hivi.
Naomba hata jina tuh [emoji120]
 
Back
Top Bottom