Zemdwange Mangendekuveya
Member
- Dec 7, 2016
- 49
- 31
Kuna wimbo ulikuwa unatumika kwenye kipindi fulani cha usalama barabarani,baadhi ya maneno unasema msukosuko wa mawimbi maji yakishakuingia,madereva wenye fujo yafaa kuwakimbia.
Mwenye nao anipatie p'se
Mwenye nao anipatie p'se