Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
kuna nyimbo flan ivi alikuawa akiitumia Gadna G Abash ktk kipindi cha jahazi,

ni longtime kidogo,, anayejua anitap plz

Nadhani unaongelea hii mkuu inaitwa How i roll kaimba Juel Santana na Akon kama sikosei.
 

Attachments

Kuna wimbo ulikua unaimba uyu demu mcheki akipita anatingishatingisha naomba kujua uliimbwa na nani ili niu downlod
 
Aisee mm naukubali sana wimbo wa awiro wa mbeya moja ya mashairi yaenda ivi

"ndiomana ndiomana.......... ndiomana twinzire.....twinzire wa maaaaama ndiomana twinzire wa baba ndiomana twinzire "
Mwenye nao please help me

Ebu isikilize hii ndio yenyewe au??
 

Attachments

  • Thanks
Reactions: a45
mimi natafuta sana video ya ule wimbo wa Diamond wa Niacheeeeeeeeeeee.Dah huyu jamaa ni Zaidi ya fundi aisee
 
Kuna sehemu mwishoni eti wanaimba “kwenye starehe Tinga Tinga limefikaje??” Sijui walikuwa na maana gani hawa Kina Banza
Enzi hizo Mziki wa dansi una nguvu kuliko bongo fleva,twanga pepeta wa kizindua album nchi nzima inajua,hit singles nyingi za muziki wa dansi(sasa nikumbeshie mara ya mwisho lini umesikia nyimbo ya dance iliyohit na kuwa gumzo.),enzi izo aly choki supastaa,akawa kila akienda kwenye uzinduzi wa album mpya anaingia na mbwembwe mara kaja na farasi,album nyengine akaja na catapilar,sasa hao kina banza wakatia kionjo hicho kama kijembe cha kisanaa kwa ally choki na twanga.

"Kwenye starehe kijiko kimefikajee"[emoji445][emoji445][emoji445]
 
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...."

Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba anitajie hata jina la wimbo au aliyenao aniwekee hapa please .

Ni wimbo aliouimba Kwa sauti zilizolangiliwa vizuuuuuurii sana.

Msaada Please,
PNC FEAT. MR BLUE wimbo unaitwa mbona
 
Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe...! Nilikupenda sana oooh mfano wa maua, lakini hupendeki bora sasa uende. Huu wimbo umeimbwa na wakenya fulani hivi

Huu wimbo Original ni wa Western Jazz ,
Safari Sound ya Kenya waliuimba upya(waliuboresha kidogo).
 
Wanaitwa Western Jazz ndo walioimba huu wimbo
Original wa Western Jazz bahati mbaya niliufuta, nikauacha huu copy yake wa Safari saound,
Sijui kama utakufaa
 

Attachments

Back
Top Bottom