Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
hizi nyimbo nimezitafuta bila mafanikio, mwenye nazo wanakwetu

...yote maisha /chamber squad
...tumechill /capital letters ft stan boy
...nipe jibu /mapacha ft ngwair&nurueli
...kitambo kidogo /BDP
...veronica / G Short ft nurueli

SUKAH
 
Mwenye wimbo wa Mr 2 wananita Sugu nani sugu naomba mwenye nao tafadhali
 
Please naomba mtu anitafutie ule wa olduvai band wanaosemaga baba kaleta panya (original version sio ile feki iliyopo youtube)
 
Kuna wimbo waliimba jamaa wawili wanatokea temeke kama sijakosea na walimshirikisha AY wakati huo yuko east coast team na production alifanya Mika Mwamba. Yeyote mwenye kuukumbuka!?
 
Natafuta wimbo wa jamaa fulani anaitwa Amani Kakore(sina hakika kama nimelipatia hilo jina) , unazungumzia kabila la Wapare..

Ni sisi baba dhao pamoja na mama dhao tulio hapa..[emoji445]
Nataka muelewe ya kwamba sisi ni watu wazima sasa...[emoji445]
Ufupi sio hoja kwani hata huko kwenu wapo wafupiiii....[emoji445]
 
Back
Top Bottom