Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Why me Lord?Ule wimbo wa shaggy anaimba kama analia, unaitwaje wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why me Lord?Ule wimbo wa shaggy anaimba kama analia, unaitwaje wadau?
Sawa mkuu..ufupi sio hoja maana hata huko kwenu wapo wafupi....mkuu na mm nautafuta sana huo so pls ukipata nijuze
Mbona nimedownload sio wenyewe.Why me Lord?
kuna wimbo wa ccm wa kampeni 2015 wa miondoko
una maneno kama wa bara nA visiwan ngoma lipo uwanjan
kinyanganyiro october siku ya nani na nani mwenye nao
kuna wimbo wa ccm wa kampeni 2015 wa miondoko
una maneno kama wa bara nA visiwan ngoma lipo uwanjan
kinyanganyiro october siku ya nani na nani mwenye nao
Wadau mwenye nyimbo za mwinjuma muumini kwenye ile albam ya tunda maisha kitendawili weka ata albam nzima af ni pm nikupe posho kidogo
Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala
General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala
General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
Kuna wimbo mmoja hivi waliimba na vijana fulani hivi kwa lafudhi ya kichaga.....
“Ni jinsi gani tutawini maishani mpaka siku tunasema buriani.......”
“Aaaah ni namna gani aaahh ni jinsi gani.....!!!”
Kama sikosei baadhi ya mashairi yana sema hivyo....
Mkuu Mlamoto asante sana, huu wimbo wa Zao hatimae nimeupata.....
Asante sana tena zaidi ya sana.
Sasa kwa mwenye nyimbo za taarab za kina Ally Tajiruna, Ally Star au hata tunzi zao wakati huo wakiwa na ushindani wa TOT na Muungano pia za ustaadhi Hamdani anisaidie tafadhali
Mkuu ukiupata, nitag tafadhaliKwanza Unity - Msafiri..!
Natafuta wimbo wa TID feat GK unaitwa Tutakukumbuka.
Ikiwa audio itapendeza zaidi
Hebu jaribu kusikiliza ule wimbo wa r. Kelly if i could back the..... Of time.Natafuta wimbo ambao ni instrumental, hutumika TBC tv kuambatana na matangazo ya wafu. Siujui jina.
Mie natafuta wimbo wa senzo uitwao vanessa
Kwanza Unity - Msafiri..!