xplastaz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 418
- 258
Suma Lee kosa langu ninMimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana