Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta nyimbo ya aina hiphop ila mdundo wake kama taarab chorus ila verse wachana mbaya...chorus yenyewe yaongea kuhusu asuu kipenzi kufafanua zaidi chorus siko sure na Maneno ju Ni ya kitambo “asuuu wewe ndio kipenzi...”
Ndugu Zangu wabongo saidieni
 
Natafuta wimbo wa urafiki jazz band ukisema sarah acha majivuno,
Sara(Wacha Majivuno) - Bendi]



Heeee Sara wacha majivuno ee

Usiwe kama Mwanaisha

Kanikataa sababu mimi ni Mshona Viatu eee



Kampata aaa Mshkaji mwingine ehehe hee hee

Mwenye gari kubwa sana mtumba

Kavunja uchumba mwanaisha sababu mimi ni Mshona Viatu ee



(Chorus)



[Wote]

Tamaa yako Mwanaisha, itakuponza,
Kwa kumfuata yule bwana mwenye mtumba,

Mwanaisha ,Mwanaisha, ogopa sana mamaaaa
kazi ni kazi Mwanaisha , bora mkono uende kinywani eeeh

Aliyenao tafadhali
 
nataka mwimbo wa gospel kaimba jamaa mmoja wa mbeya ambaye aliimba mwimbo tutembeleee,baba mungu wa mbinguni tutembelee ila mwimbo ninaoutaka unaitwa namshukuru mungu haleluya namshukuru mungu amen ame nimekumbuka anaitwa amani mwasote mwimbaji
 
wapendwa mwenye wimbo wa parapanda arts unaitwa tufungulieni please anipe maana nautafuta saaaana
 
Naomba wimbo wa Soul N Faith(Washikaji) wimbo unaitwa Maumivu ya mapenzi
 
Naomba mwenye wimbo wa Orch. Maquis Original unaitwa Mfaume. Line iliongozwa na pacha kina Kasaloo Kyanga tafadhali.
 
wapendwa mwenye wimbo wa parapanda arts unaitwa tufungulieni please anipe maana nautafuta saaaana
Huu wimbo nautafuta sana mkuu yaani sijui kwa nini haupo u tube. Wakiuweka naomba na mimi unitag mkuu.
 
Kuna wimbo wa Chama cha mapinduzi, umeimbwa na mzee komba unaitwa CCM YA WINNER nautafuta sana huo wimbo na nyimbo nyengine za Marehemu Captain Komba
 
Wimbi wa ben pol phone remix ameimba mwenyrw mwanzo mwsho bila mr eazi
 
Back
Top Bottom