Natafuta wimbo wa urafiki jazz band ukisema sarah acha majivuno,
Sara(Wacha Majivuno) - Bendi]
Heeee Sara wacha majivuno ee
Usiwe kama Mwanaisha
Kanikataa sababu mimi ni Mshona Viatu eee
Kampata aaa Mshkaji mwingine ehehe hee hee
Mwenye gari kubwa sana mtumba
Kavunja uchumba mwanaisha sababu mimi ni Mshona Viatu ee
(Chorus)
[Wote]
Tamaa yako Mwanaisha, itakuponza,
Kwa kumfuata yule bwana mwenye mtumba,
Mwanaisha ,Mwanaisha, ogopa sana mamaaaa
kazi ni kazi Mwanaisha , bora mkono uende kinywani eeeh
Aliyenao tafadhali