Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Ninao ila kuuweka ndiyo mtihaniFally ipupa - olekooyo kama sijakosea spelling
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao ila kuuweka ndiyo mtihaniFally ipupa - olekooyo kama sijakosea spelling
Unaitwa tx mpenziKhadija kopa wimbo uliitwa Daktari ukinipatia huo nitafurahi sana
Anaitwa DJ Cutter....Kuna wimbo.. Uliimbwa na jamaa mmmoja hivi. Sijajua unaiywaje sema aliimba hivi.
Ooooh mama miaa
Kakuzimiamia aminianiaaa
Ooooo mamaa miaaaa
Nb. sio Yule Dr. jose chameleon. Jamaa alikuwa na Rasta hivi kutoka aidha Uganda au Kenya
NinayoSheila by Esther Wasira
KhaledNisaidieni nyimbo au aliyeimba nyimbo orijino ya "aicha aicha.. "
Ya zamani kidogo.
Wajuvi wanaweza jua muimbaji naomba link pia.
Jogoo wa shamba ..Zilipendwa flan ivi unaimbwa "ilooo ooh, ukijifanya mjanja sana, aibu imekushika, kiko wapi. ." anayefahamu waliomba plz ntajie nigugo au km unao itkua poa sn
[HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
asali wa moyo inspector haroun
Ninao bongo trans mkuu, na mtoto huyu vpuna nyimbo za solo thang zile za miaka ya elfu 2 mwanzoni? nimehangaika sana kuzipata. kama unazo ntashukuru mkuu.
Nikipata nafasi nitaziweka Kama members wengine watakuwa hawajaziweka hapauna nyimbo za solo thang zile za miaka ya elfu 2 mwanzoni? nimehangaika sana kuzipata. kama unazo ntashukuru mkuu.
Tease mekuna wimbo wa msanii Plies kutoka marekani wimbo unaanza anaimbia kwny gari akielekea kwny jumba kubwa la kifahari ambapo anamkuta mdada na kuanza kuimba nae, nmeutafuta sana bila mafanikio...