Huuu nadhani umeshindikana kabisa. Nshaomba sana huu wimbo pamoja na wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA og version nikaishia kupewa remix ambayo gk kaimba sijui na stars Thomas na Remix ya unique sisters ft Dudu baya
Mkuu hivi wale watangazaji wa clouds hawawezi kuwa nao huu wimbo kweli?Huuu nadhani umeshindikana kabisa. Nshaomba sana huu wimbo pamoja na wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA og version nikaishia kupewa remix ambayo gk kaimba sijui na stars Thomas na Remix ya unique sisters ft Dudu baya
Shukrani sanaSikiliza huu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ma DJ's ndo watakua nao na Siyo Watangazaji.Mkuu hivi wale watangazaji wa clouds hawawezi kuwa nao huu wimbo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye maktaba zao wanaweza kuwa nao. Na wanapaswa kuwa nao mkuuMkuu hivi wale watangazaji wa clouds hawawezi kuwa nao huu wimbo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Search humu utaukuta ushawahi wekwa. Mi nashindwa Ku upload humu ila nnao kwenye PC yanguchonde chonde jamaa zangu naomba mwenye wimbo was professor jay. unaitwa chemsha bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
chonde chonde jamaa zangu naomba mwenye wimbo was professor jay. unaitwa chemsha bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina kanda ile yenyewe na picha ya noti ya 500 na kwaya ni Uinjilisti Hai ya kule MoshiNilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.
UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-
Goite