Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
GK FEAT. FINA MANGO - MAMA ..mwenye huu wimbo kuna zawadi....


Sent using Jamii Forums mobile app
Huuu nadhani umeshindikana kabisa. Nshaomba sana huu wimbo pamoja na wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA og version nikaishia kupewa remix ambayo gk kaimba sijui na stars Thomas na Remix ya unique sisters ft Dudu baya
 
Huuu nadhani umeshindikana kabisa. Nshaomba sana huu wimbo pamoja na wimbo Wa unique sisters unaitwa SIKUTAKA og version nikaishia kupewa remix ambayo gk kaimba sijui na stars Thomas na Remix ya unique sisters ft Dudu baya
Mkuu hivi wale watangazaji wa clouds hawawezi kuwa nao huu wimbo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mwenye ule wimbo original wa Olduvai band unaosema "baba kaleta panya.." nimeutafuta kila mahali siupati jamani mwaka wa 5 huu
 
Wadau mwenye wimbo wa bob rudala.....
Jina siujui ila una maneno

".....asante kwa kunizalia mtoto.... Atatusaidia sisi wazazi wake......"

Mwenye nao tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mwenye nyimbo hizi naziomba
1.K-Mondo sound_Neli
2.African revolution (Tam tam) band_Vijino pembe
3.Muungano band(kata kiu)_Shangingi & Mbio za sakafuni huishia ukingoni
4.Lameck Ditto ft Mh Temba_Kidogo
 
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.


UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-

Goite
Mimi nina kanda ile yenyewe na picha ya noti ya 500 na kwaya ni Uinjilisti Hai ya kule Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo wa gospel wa zamani unaimbwa

"kama si wewe ee bwana ningekuwa wapi mimi

Kama si wewe watoto wazuri ningewapata wapi mimi"

Nakumbuka kipande hicho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom