Habar za muda huu
Tafafhali naomba wimbo wa MAPINDUZI wa Zanzibar
 
Mkuu hizi program kazi yake ni nini?
Sony Acid na Adobe Audition

Shukran
Ku extend music (kuundia intros & outros), Music production (beat making) na ku edit music wenye explicit language kua clean version kwa kuondoa matusi..! Kwa Advanced & Professional Tool kama Sony Acid inafanya DJ mixes pia na ndo skuiz wanaitumia DJs wengi kuunda hizo mixtapes zao ambazo kama usha experience mwanzo wa intro ya mixtape ya DJ kuna backspin & scratches nyigi za ajabu ajabu na milio tofauti ndo kazi ya Sony Acid hiyo..! Kuna Sony Vegas hii ni kwa ajili ya video production na matangazo hasa ya music hususani concerts au kipindi cha music video kwenye TV! Ndio pia inatumika kuundia Extended videos, kufuta sehemu chafu kwenye video n.k ni ndugu ake Sony Acid..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ngoma fulani hivi ina mistari hii "vijana msilale bado mapambano" na karibia mwishoni anaimba "jua lile literemke mama aiyahiyahiya hiya mama" kaimba nani na unaitwaje? Nimeusikia kwenye redio unaimbwa
Ni wimbo flani wa taratibu kama blues flani hivi
Ni mzuri sana, mwenye nao antumie au anitajie jina tu
 
Natafuta nyimbo hizi

1. Siijui jina lakini inaimba-
nalia woo woo, nalia sana wou woo...
nataka kuwa mi milionea, uwezo sina wou woo...
nataka gari ya kutembelea, uwezo sina wou woo...
sina kitanda nalala chini, naumwa na kunguni wou woo...
miye fukara nadharaulika, hapa duniani wou woo...

2.tenzi za rohoni- tufani ijapo hunificha... tenzi hiyo nikisachi nakuta waimbaji wengine tu wale walioimba vizuri siwapati; mwanzo inaanza na kabiti nyororo (sijui kakinanda) basi kanashawishi usingizi kwelikweli

3. Pilato na game (remix) ambayo humo ndani wamehusishwa wasanii wengi wengi wa bongoflava enzi hizo... kama ilivyo mchizi wangu remix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta wimbo fulani wa zamani kidogo nahisi unaimbwa...

Sawa babaa... Sawa mamaaa... Maneno nimesikia....
 
Shukran mkuu
Sasa wewe huwezi zitumia hizi au mpaka mafunzo????
Shida ni kupata instrumentals za kibongo ni mziki mpaka upate kutoka kwa DJs wakongwe au producer mwenyewe...! Kuunda Extendz sio kazi hata,,, Lakini za majuu Instrumentals nyingi unaunda tu muda wowote ukipenda.. Hizo Tools lazima upitie tutorials kidogo maana ziko complicated sana kujua kwa siku 1 au 2 tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu wng.
Vp ile sound effect umeipata???
 
And natafuta album ya Kihaya ya Maua yenye nyimbo kama Chenkula Akatambala na Mwana Sofi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…