Moshi mweusi
Member
- Sep 12, 2019
- 59
- 64
Natafta wimbo flan unaitwa dance in Hall wa 50 cent kwa alienao plz anitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku extend music (kuundia intros & outros), Music production (beat making) na ku edit music wenye explicit language kua clean version kwa kuondoa matusi..! Kwa Advanced & Professional Tool kama Sony Acid inafanya DJ mixes pia na ndo skuiz wanaitumia DJs wengi kuunda hizo mixtapes zao ambazo kama usha experience mwanzo wa intro ya mixtape ya DJ kuna backspin & scratches nyigi za ajabu ajabu na milio tofauti ndo kazi ya Sony Acid hiyo..! Kuna Sony Vegas hii ni kwa ajili ya video production na matangazo hasa ya music hususani concerts au kipindi cha music video kwenye TV! Ndio pia inatumika kuundia Extended videos, kufuta sehemu chafu kwenye video n.k ni ndugu ake Sony Acid..Mkuu hizi program kazi yake ni nini?
Sony Acid na Adobe Audition
Shukran
Wimbo wa pata raha yupo Nikki mbishi, stereo,one na Ben pol sijui ntaupataje nishahangaika sana nauonaga tu sound cloudHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
CCM Mbele kwa mbeleHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Shida ni kupata instrumentals za kibongo ni mziki mpaka upate kutoka kwa DJs wakongwe au producer mwenyewe...! Kuunda Extendz sio kazi hata,,, Lakini za majuu Instrumentals nyingi unaunda tu muda wowote ukipenda.. Hizo Tools lazima upitie tutorials kidogo maana ziko complicated sana kujua kwa siku 1 au 2 tu...Shukran mkuu
Sasa wewe huwezi zitumia hizi au mpaka mafunzo????
Sawa mkuu wng.Shida ni kupata instrumentals za kibongo ni mziki mpaka upate kutoka kwa DJs wakongwe au producer mwenyewe...! Kuunda Extendz sio kazi hata,,, Lakini za majuu Instrumentals nyingi unaunda tu muda wowote ukipenda.. Hizo Tools lazima upitie tutorials kidogo maana ziko complicated sana kujua kwa siku 1 au 2 tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
ata mm autafta snaWimbo wa ccm mbele kwa mbele,sijui kaimba Nani vile?