WAUNGWANA NENDENI RUBEGA NIMEWEKA NYIMBO ZA
JAFFARAE FT DAZ MWL SAMAHANI
NA
BIZMAN ISHARA YA UPENDO
HUKU NAONA ZINAGOMA KUZIWEKA.
 
Natafuta nyimbo za hii kwaya ,inaitwa SDA bulyaheke sengerema Tanzania,albamu yao inaitwa MATUKIO, iwe video au audio mwenye nayo tafadhali, hata kwa pesa nitakupa unipe hizo nyimbo.Au aliye na tape yake (kanda) pia nitashukuru akinielekeza ziko wapi kwa sasa.
Mimi Niko Arusha Tanzania.
Whatsapp namba yangu 0716060677

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo siikumbuki jina ila ina mashairi haya "Wee shunjii Wee shunjiiii we shunji nakiparanawe ""kwa ufupi Kama sikosei ya kitambo kidogo
CC. Kioo
 
kaka mi naomba kama una nyimbo ya Wateule (Solo thang, Jay mo, Mack to B na Lady LU) inautwa NIGETAWALA, nimeitafuta sana hii ngoma
 
Una uhakika hilo ndio jina la nyimbo?
Fanya research upya then nitumie jina la song me nitakutafutia mkuu coz hilo jina linanipa utata or may be siijui hiyo song.
 
Una uhakika hilo ndio jina la nyimbo?
Fanya research upya then nitumie jina la song me nitakutafutia mkuu coz hilo jina linanipa utata or may be siijui hiyo song.

Nyimbo inaitwa NINGETAWALA

Ni nyimbo za mwanzo kabisa baada ya Kundi la Wateule kuanzishwa baada ya kuunganisha wasanii hao waliposhinda talent show moja iliyoandaliwa hapa DSM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyimbo ya kitambo sana sijui ni ya kisauzi... wakati nakua hom ilkuwa inapgwa sana

Nlkuw naiimba... "esta mwenye nywere esta mwenye nywere"[emoji28]

Najua nlkuw nakosea kuimba ila kn una idea na hyo nyimbo nisaidie

...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…