mnyaga1
Senior Member
- Sep 24, 2014
- 184
- 104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuupakia hapa JF app Inazingua sana. Kama vipi tupia namba ya whatsapp Inbox nikufanyie wepesi mkuu.
Nashindwa kuupakia hapa JF app Inazingua sana. Kama vipi tupia namba ya whatsapp Inbox nikufanyie wepesi mkuu.
Una uhakika hilo ndio jina la nyimbo?kaka mi naomba kama una nyimbo ya Wateule (Solo thang, Jay mo, Mack to B na Lady LU) inautwa NIGETAWALA, nimeitafuta sana hii ngoma
Una uhakika hilo ndio jina la nyimbo?
Fanya research upya then nitumie jina la song me nitakutafutia mkuu coz hilo jina linanipa utata or may be siijui hiyo song.
Nitajaribu kukutafutia mkuu. Nitakupa mrejesho soon.Nyimbo inaitwa NINGETAWALA
Ni nyimbo za mwanzo kabisa baada ya Kundi la Wateule kuanzishwa baada ya kuunganisha wasanii hao waliposhinda talent show moja iliyoandaliwa hapa DSM
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo siikumbuki jina ila ina mashairi haya "Wee shunjii Wee shunjiiii we shunji nakiparanawe ""kwa ufupi Kama sikosei ya kitambo kidogo
CC. Kioo