Natafuta wimbo wa Chawa na Panya tunaishi nyumba moja kwanini usiku mnanisumbua....Ikiwezekana albamu nzima nimeisaka miaka kumi sasa mwenye nao au hii albamu msaada tafadhari......Kwa albamu nzima hela ya soda utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa nahisi huu wimbo na Mimi nauhitaji sana japo Mimi nilikuwa nahisi ni Paka na panya mana niliusikia nikiwa Mdogo sana hivyo hata waloimba siwakumbuki. Vipi unawakumbuka ni kina nani waloimba?
 
Daaa nahisi huu wimbo na Mimi nauhitaji sana japo Mimi nilikuwa nahisi ni Paka na panya mana niliusikia nikiwa Mdogo sana hivyo hata waloimba siwakumbuki. Vipi unawakumbuka ni kina nani waloimba?
Sikumbuki jamaaa alikuwa na albam mzee wangu alikuwa nayo nmeisikiliza sana utotoni na kuna nyimbo nyingine ilikuwa inazungumzia maswala ya Ukimwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ngoja ya Stereo Chundabady baadhi ya mistari inasema hivi.. 'Maadui awaponi mbele ya komando kipensi. Nawaza paka mtoni ubongo wangu hauna fensi/

'What the differenc. Kat ya wakali and nice..
Wanareference ukweli uko mbali they lie/

Hauzimiki mziki so km Eagle fly......


Jamani jamani..

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..
 
Hi people.

Naomba wimbo wa Don't give up wa wasanii mbalimbali wa Zeezu entertainment kipindi kile. Kwenye chorus ni Steve RNB. Wapo pia Ngwea, Dataz, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natafuta nyimbo ya Jay Moo, inaitwa ULIMWENGU NDIYO MAMA, nyimbo inazungumzia maisha jay moo. Pamoja na familia yake yake yaani mama, baba na ndugu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…