Huu hapa. Ni wimbo wa Rich Richie Longomba akimshirikisha Lady jay Deekuna ngoma moja inasikika saut kama ya papii kocha...
chorus yake inaimba..
"nimpate wapiii, nimtafute eeeh wapi ntamuona wapiii
nitulize nisiwe na wasiwasi"
kama kunamtu anaijua anisave
Huu hapa. Hangaika naowimbo wa fresh p ft bambo-unaitwa kitambi
Huyu hapa Stara Thomas. Hangaika nayeJaman tafadhali mwenye nyimbo ya stara thomas inaitwa "wasiwasi wamapenzi" anipatie nimeutafuta bila mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanksss weee jamaaa aseeeeeHuu hapa. Ni wimbo wa Rich Richie Longomba akimshirikisha Lady jay Dee
Wakuu Idimi, KIOO, na timu nzima ya jf, hii kitu naitafuta sana naomba muidondoshe nihangaike nayo.Hi people.
Naomba wimbo wa Don't give up wa wasanii mbalimbali wa Zeezu entertainment kipindi kile. Kwenye chorus ni Steve RNB. Wapo pia Ngwea, Dataz, nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujaipata tu nami naitafuta sana...wale jamaa wanajua sana akina tolu youtube hazipoKuna album moja ya gospel unaitwa MPENDE JIRANI YAKO ya choir moja inaitwa Mtili Gospel Singers ya huko Mafinga,ni ya kitambo na sijui hata kama waliiweka kwenye CD. Kama kuna mtu anayo tafadhali anisaidie
Kiongozi naomba Hili Game remix ya sugu Giz mabovu na dark master plsHuyu hapa Stara Thomas. Hangaika naye
🤣 🤣 🤣 🤣 corona inatuumiza sana ndg. Acha ipite tu. Labda uniwezeshe ka bundle tu ka wiki niendelee kuwamwagia nyimbo kama kawaThanksss weee jamaaa aseeeee
kama sio hii corona wallahi ungepiga kwanza bia mbili sehem
umenifurahisha mnoooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa man. Hangaika nao.Kiongozi naomba Hili Game remix ya sugu Giz mabovu na dark master pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetafuta sana ktk library sijaukuta. SIjajua kama shida ni jina ama msanii mmiliki wa wimbo huoWakuu Idimi, KIOO, na timu nzima ya jf, hii kitu naitafuta sana naomba muidondoshe nihangaike nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa. Ingawa tulishauweka kwenye page za juuKuna wimbo wa Ali Choki inaitwa Double Double (duble duble) aliimba na bendi yake nautafuta sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana kamanda
Nyimbo unazozisaka n kama kuna mtu unataka kumpa madini ya wazee aache uduanziMkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".