Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
kuna ngoma moja inasikika saut kama ya papii kocha...
chorus yake inaimba..
"nimpate wapiii, nimtafute eeeh wapi ntamuona wapiii
nitulize nisiwe na wasiwasi"
kama kunamtu anaijua anisave
Huu hapa. Ni wimbo wa Rich Richie Longomba akimshirikisha Lady jay Dee
 

Attachments

Kuna album moja ya gospel unaitwa MPENDE JIRANI YAKO ya choir moja inaitwa Mtili Gospel Singers ya huko Mafinga,ni ya kitambo na sijui hata kama waliiweka kwenye CD. Kama kuna mtu anayo tafadhali anisaidie
Mkuu hujaipata tu nami naitafuta sana...wale jamaa wanajua sana akina tolu youtube hazipo
 
Kuna wimbo unapiga clouds kwenye tangazo lao ambapo maprezenta mchomvu, b12, djziro, meena ally,mamy baby kama wanapokezana mic huku uwo wimbo unapiga background ni wa kiingereza nayeujua tafadhali auweke hapa au aseme nani ameimba

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Nyimbo unazozisaka n kama kuna mtu unataka kumpa madini ya wazee aache uduanzi
 
Back
Top Bottom