Wazeee kwa mwenye taarabu ya
"Nenda salama mwanangu"

stidy
 
Kuna wimbo niliuskia miaka ya 2011 hivi. Mwimbaji jina simjui ila
Ulikuwa ni wimbo anamwimbia mdogo wake anaitwa ZiTa ambae ametoroka nyumbani kisa uzuri wake akihangaika na wanaume
Sehemu ya kiitikio kuna mahali unasema

"Zita wewe zita wewe, zita mama rudi nyumbanii,Uwo uzuri wa sura yako walikuwepo kitambo"

Yaan nimeutafuta kila mahali sijawahi ufanikiwa. Mwenye kuwahi uskia au mfaham ni msanii gani anisaidie tu
 
Nami pia nautafuta mkuu mwimbaji kama sikosei alikua anitwa Alan alikua msanii chipukizi wa sumbawanga anaimba kama juma nature

Nokia kitochi
 
Nami pia nautafuta mkuu mwimbaji kama sikosei alikua anitwa Alan alikua msanii chipukizi wa sumbawanga anaimba kama juma nature

Nokia kitochi
Wimbo wa Zita

Nokia kitochi
 
Kuna wimbo wa kimaonjo ya kizamani jina sikumbuki ila una mistari isemsemayo "Salamu we Maria, mpenzi nahangaika wee...Naomba usikie popote ulipo mama"
 
Kuna wimbo fulani hv nahis ni wa Mbilia bell una mashair yanasema "mabwana wengi wanantaka mimi mwana maskini" anaejua jina la wimbo anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…