Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua nakusaidiaje maana TBC huwa siangalii. Msanii anaitwa nani?Naombeni jina la wimbo fulani wa Africa kusini video yake jamaa alikuwa Kama anaperform jukwaan.
umepigwa leo TBC kwenye kipindi Cha zilipendwa,
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Ya mamako
Wimbo Ni huu hapa, nimebahatika kurekodi marudio.
Naomba jina la msanii na jina la wimboView attachment 1445908
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Mkuu Asante Sana ubarikiwe[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Msaada wa nyimbo hizi hapa..
KILIMANJARO BAND NJENJE - TUPENDANE plz iwe kwenye ubora nzuri
JUMA KAKERE FT SINTA - SAFARI
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wimbo ni wa mwanamuziki wa South Africa Pat Shange. Unaitwa Anytime BabyWimbo Ni huu hapa, nimebahatika kurekodi marudio.
Naomba jina la msanii na jina la wimbo
View attachment 1445908
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
We jamaa hii signature yako inachekesha sana ha ha ha ha haMkuu Asante Sana ubarikiwe[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Nadhifa by SajnaKuna wimbo niliuskia miaka ya 2011 hivi. Mwimbaji jina simjui ila
Ulikuwa ni wimbo anamwimbia mdogo wake anaitwa ZiTa ambae ametoroka nyumbani kisa uzuri wake akihangaika na wanaume
Sehemu ya kiitikio kuna mahali unasema
"Zita wewe zita wewe, zita mama rudi nyumbanii,Uwo uzuri wa sura yako walikuwepo kitambo"
Yaan nimeutafuta kila mahali sijawahi ufanikiwa. Mwenye kuwahi uskia au mfaham ni msanii gani anisaidie tu
Msaada wa nyimbo hizi hapa..
KILIMANJARO BAND NJENJE - TUPENDANE plz iwe kwenye ubora nzuri
JUMA KAKERE FT SINTA - SAFARI
Sent using Jamii Forums mobile app