king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetisha mkuu ndo hapa naiskiza kumbe ni Jina hilo mi nikasema ni Zita kumbe Nadhifa.. Jf ibarikiwe sana jaman
Unaitwa ''Paka wewe''Kuna wimbo fulani hv nahis ni wa Mbilia bell una mashair yanasema "mabwana wengi wanantaka mimi mwana maskini" anaejua jina la wimbo anisaidie
Kuna wimbo fulani hv nahis ni wa Mbilia bell una mashair yanasema "mabwana wengi wanantaka mimi mwana maskini" anaejua jina la wimbo anisaidie
Kuna nyimbo sijui imeimbwa na nani ila nahisi ni wakongo,kwenye verse inasikia hivi Danse danse eeeh mwenye nayo aitupie hapa
Naomba mwenye wimbo wa Olduvai Band uitwao Ndumilakuwili. Una maneno yasemayo baba kaleta panya..
Hayaa hii hapa. Enjoy
Nishasaidiwa, unaitwa NADHIFA by SAJNA
Naomba full kama unayo
Bin Swed huu wimbo ni mtamu sana ila haufiki mwishoHaya sasa kazi kwako
Mkuu kma unanyimbo za OLIVER NGOMA fanya mchakato.Huu hapa. Hangaika nao
baadhi hizi hapa. Enjoy
YouTube nishawahi kuuona ila nimesahau jina lake. Andika Fid Q ft Nuruelly song...Habari gani wadau, natafuta wimbo wa fid q ft nuruelly.. wenye chorus yenye maneno haya ''Taratibu nasema bado, tunajirusha na mambo bado, kwenye mikito ya adoado, na madj wako gado''
Mwenye huo wimbo naomba msaada wake plz