Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta nyimbo za Nuruely_(1) Mimi narudi nyumbani (2) Wewe nifuate Maaa.

Nahisi kwenye majini siko sahihi sana ila ndani ya nyimbo hizo mbili mashairi ya namna nilivyoandika hapo juu.

Msaada tafadhali kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu!

Sent using Jamii Forums mobile app

huo ni wa kibla sir necha msitu wa vina.....sema saivi ni msitu wa bia [emoji16]

Sent using Kirikuu
 
Huu hapa. Enjoy
Mkuu hizi nyimbo tatu nimezitafuta saana:
1. Lady Luu - Mahabuba, inaimba mimi nakula nawewe sahani, aah, wangu mahabuba
2. Sikumbuki inaitwaje, ila inaimba hivi "chokocko mtazame huyu Sister, yaani kidume mzima nivunje amri ya sita, aaahh hapanaa, aaah hapanaaa"
3. Wameshirikishwa Unique Sisters "ungeanza na ukweli tu, kuwa wewe huna kitu tu"
 
Hao ni UVC upo humu huo wimbo ushawekwa
Mkuu hizi nyimbo tatu nimezitafuta saana:
1. Lady Luu - Mahabuba, inaimba mimi nakula nawewe sahani, aah, wangu mahabuba
2. Sikumbuki inaitwaje, ila inaimba hivi "chokocko mtazame huyu Sister, yaani kidume mzima nivunje amri ya sita, aaahh hapanaa, aaah hapanaaa"
3. Wameshirikishwa Unique Sisters "ungeanza na ukweli tu, kuwa wewe huna kitu tu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo nyimbo ya Lady Luh anaimba "wangu mahabuba, mimi nakula na wewe sahani" ninaihitaji sana, kama unayo fanya msaada tafadhali
Kwangu mie nyimbo za Lady Lu sina, ingawa ni mmojawapo wa akina dada ninaowapeda sana kwenye muziki. Nadhani ni dada wa kwanza kama sio wa pili kuimba rap hapa Tanzania, kabla ya akina Sister P, Da Joh wa Kigamboni na Zay B
 
POwa Mama Debora . Sina uhakika kama umewahi kuwekwa, ila ungetaja alieimba tungekuwekea. Karibu

Kaka unaniangusha.
Baba kaleta panya wameimba Olduvai Band.

Baba kaleta panyaaa
Baba kaleta panyaaa
We usiseme panya sema mbuzi wa porini.

Usiwasikilize hao mama...
Kwani hao ni ndumilakuwili.
 
Kaka unaniangusha.
Baba kaleta panya wameimba Olduvai Band.

Baba kaleta panyaaa
Baba kaleta panyaaa
We usiseme panya sema mbuzi wa porini.

Usiwasikilize hao mama...
Kwani hao ni ndumilakuwili.
Bahati mbaya sana sina kwenye library yangu ndg
 
Back
Top Bottom