Wakubwa naomba wimbo wa picco mapenzi hakuna tena
Baadhi ya mashairi yake yapo hivi
mapenzi hamna tena nasema hamna tena
Kuna wakati mataam na saa zingine machungu
Mwenye nao aniwezeshe
 
Au ni viki wangu ehee kalale pema peponi viki wangu eheee daima nitakukumbuka!! ndio huo nini?
Siukumbuki vizuri,nilibahatika kuusikiliza mara moja tu miaka ya 90s,nakumbuka beats zake zaidi,maneno siyakumbuki zaidi ya hilo jina Viki lilirudiwa sana kwenye huo wimbo
 
Siukumbuki vizuri,nilibahatika kuusikiliza mara moja tu miaka ya 90s,nakumbuka beats zake zaidi,maneno siyakumbuki zaidi ya hilo jina Viki lilirudiwa sana kwenye huo wimbo

Kama ni huu basi uliimbwa na Bendi ya Kimulimuli wimbo unaitwa Chiku
 
Attachments

Kuna wimbo fulani hv nahis ni wa Mbilia bell una mashair yanasema "mabwana wengi wanantaka mimi mwana maskini" anaejua jina la wimbo anisaidie
Jaribu kuusikiliza youtube wimbo "Paka Wewe" wa huyo Mbilia Bel. Natumaini utakuwa ndio wenyewe.
 
Kuna wimbo bongo fleva nadhani ni mpya una mashairi "..sijutii kuteketea eeh kuteketea, sihofii kuteketea eeh kuteketea..." ni wa mwanamuziki wa kiume. Naomba anayeufahamu.
 
Siukumbuki vizuri,nilibahatika kuusikiliza mara moja tu miaka ya 90s,nakumbuka beats zake zaidi,maneno siyakumbuki zaidi ya hilo jina Viki lilirudiwa sana kwenye huo wimbo
 
Attachments

Duh,umeingia chimbo ambalo mwisho wa siku unaweza kuipata.Sasa huo "Viki" uliimbwa na Patrick Balisidya.Hilo jina viki si title ya wimbo,bali anatajwa humo ndani ya wimbo. Mtumpole
 
Sharp Shooter - UBANDIDU.

Nilikuwa nausikiliza sana miaka ya 1997-1998 DJ Show John Dilinga Matlou(DJ JD) na Sostenes Ambakisye(Sos B).

Cc: KIOO
 
Taarab ya Khadija Koppa akiwa na Muungano, niliiona video Muungano Vs TOT, KK anaimba 'kama mwamba',wanaitika fanya sasa , KK 'kama mwalimu' kiitikio fanya sasa, KK 'au jakanga' wanaitikia fanya sasa.
Sikumbuki nyingine zaidi ya hicho kibwagizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…