Natafuta sana huu wimbo: "Ndani ya Bongo" Mr. II enzi hizo '2Proud'.
 
Mwenye wimbo wa Mac D ft Unique Sisters - Bounce (usiku bado mchanga mbalamwezi inawaka).
 
Naombeni jina la wimbo fulani wa Africa kusini video yake jamaa alikuwa Kama anaperform jukwaan.
umepigwa leo TBC kwenye kipindi Cha zilipendwa,

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Naombeni jina la wimbo fulani wa Africa kusini video yake jamaa alikuwa Kama anaperform jukwaan.
umepigwa leo TBC kwenye kipindi Cha zilipendwa,

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Sijajua nakusaidiaje maana TBC huwa siangalii. Msanii anaitwa nani?
 
Wimbo Ni huu hapa, nimebahatika kurekodi marudio.

Naomba jina la msanii na jina la wimbo
Your browser is not able to display this video.

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Jamani mwenye nyimbo kati hizi
1.Tam Tam band_Vijino pembe
2.Tam Tam band_Maisha kitendawili
3.K Mondo band_Neli
4.Q chilah_kina fulani
 
Nadhifa by Sajna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…